Mbili Mbili

by Unganisha

/
  • Streaming + Download

    Includes unlimited streaming via the free Bandcamp app, plus high-quality download in MP3, FLAC and more.
    Purchasable with gift card

      $10 USD  or more

     

1.
Baddie 03:40
Riding out on the midnight train Sipping champagne, slaying all the way A taste of fresh air, maybe love beware she's a baddie (Walking down the streets with her heels on looking like a baddie ) New clothes old shoes New clutch, same mood Lounging all along, chilled out still strong, a beast and a babe Any money wey I get na enjoyment I dey chop life not every day for pocket Any money wey i get na enjoyment I dey chop life not every day for pocket Dada go further (Dada go further) Maisha ni kuishi kila siku (Kila siku siku) Coastal vibes, beach, BEWARE! Have fun, go bare! Refreshing tides She's living life in stere (Living life in stereo) She's ready to hustle (Ready to hustle) She will never struggle (She will never struggle) She's a lioness, you will hear her roar! Any money wey I get na enjoyment I dey chop life not every day for pocket Any money wey I get na enjoyment I dey chop life not every day for pocket Iwuotho ga iwuothoga Jawuotho iwuotho ga iwuotho ga Jawuotho iwuotho ga iwuotho ga aah Maisha ni tamu usiniletee Maisha ni tamu usinibebee Maisha ni tamu usiniletee Maisha ni tamu usinibebee Any money wey I get na enjoyment I dey chop life not every day for pocket Any money wey I get na enjoyment I dey chop life not every day for pocket Any money wey I get na enjoyment I dey chop life not every day for pocket Any money wey i get na enjoyment I dey chop life not every day for pocket
2.
Watu 03:44
Kuna watu, wakona shida kubwa, katika dunia Wamezaliwa na roho, mbaya Roho chafu, chafu Ukiwapata wao, waambie watoke Na wakikuja kwako, wasonge Ukiwapata wao, waambie watoke Na wakikuja kwako, wasonge Kuna watu domo domo (Nyamaza, nyamaza) Wengine wao sema sema (Nyamaza, nyamaza) Kuna watu msengenyo (Nyamaza, nyamaza) Wengine nao na midomo (Nyamaza, nyamaza) Maadui maendeleo, utasema leo na kesho Nenda kachukue wembe Jomoko, jomoko yaye jomoko Gihero paparipa to onge (Gimagiwacho) Giwuondo gipimowa, seched te Giriambo gihero wuoyo to onge (Gimagiwacho) Wachana na wao wachana na wao e e Wachana na wao wachana na wao e e Wachana na wao wachana na wao e e Wachana na wao wachana na wao e e Kuna watu domo domo (Nyamaza, nyamaza) Wengine wao sema sema (Nyamaza, nyamaza) Kuna watu msengenyo (Nyamaza, nyamaza) Wengine nao na midomo (Nyamaza, nyamaza) Maadui maendeleo, utasema leo na kesho Jipe kazi we mzembe Nenda kachukue wembe
3.
Aringo 03:56
Hata kama hutaki Lazima ukubali Watu hubadilika, usiogope Hatukuwachi Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi Akao motokaa okadwaro kata neni Akao motokaa, awuotho go Parie wiya no will, aonge go Ang'o momiyo athagora, we thaga Weri koda, yawa Nimechoka kujieleza ju kila siku bembeleza Najaribu kuendelea lakini bado umenuna Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi, akao motokaa okadwaro kata neni (Nyere) Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi (Nyere) Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi (Nyere) Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi, akao motokaa okadwaro kata neni (Nyere) Osiepe penja, ni abotimo ang'o? Aboweyi, koso abobedo kodi ? Mudho nitie, dwaro kudho wa Koth biro chwe, biro goya Nimechoka kujieleza ju kila siku bembeleza Najaribu kuendelea lakini bado umenuna Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi, akao motokaa okadwaro kata neni Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi, akao motokaa okadwaro kata neni Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi (Nyere) Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi (Nyere) Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi, akao motokaa okadwaro kata neni (Nyere) Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi (Nyere) Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi (Nyere) Aringo ringo ringo okadwaro bedo kodi, akao motokaa okadwaro kata neni
4.
Mbona 03:10
Ala! Kwa nini sasa ujudge mtu juu ya rangi ya ngozi yake Umerukwa, nini? Utaniheshimu by force, by fire Usiniangalie, usinipime Usiniguze, usinishike Niheshimu oo nipe nguvu Nibariki, niarifu Usinipimie uweusi wangi Usinipimie uweupe wangu Usinipimie rangi ya ngozi yangu, sote watu Usinipimie uweusi wangi, usinipimie rangi ya ngozi yangu Usinipimie uweupe wangu, usinipimie mimi uweupe wangu Usinipimie rangi ya ngozi yangu, sote watu Niheshimu niheshimu niheshimu Niheshimu niheshimu niheshimu Niheshimu niheshimu niheshimu Niheshimu niheshimu niheshimu Sisi sote watu, mbona twatesana Sisi sote watu, mbona twatesana Ni weusi wana suffer, wengine wanapaa Ni weusi wanasuffer, wengine wanapaa Mbona tusiungane, tuwe watu moja Mbona tusiungane, tuwe watu moja Tupendane kama kaka, pia kama dada Tupendane kama kaka, pia kama dada Sisi sote watu, mbona twatesana Sisi sote watu, mbona twatesana Ni weusi wana suffer, wengine wanapaa Ni weusi wanasuffer, wengine wanapaa Mbona tusiungane, tuwe watu moja Mbona tusiungane, tuwe watu moja Tupendane kama kaka, pia kama dada Tupendane kama kaka, pia kama dada Niheshimu niheshimu niheshimu Niheshimu niheshimu niheshimu Niheshimu niheshimu niheshimu (Usiniguze, usinipime, usinishike) Niheshimu niheshimu niheshimu Niheshimu niheshimu niheshimu Niheshimu niheshimu niheshimu
5.
Sisi wasanii tunaitwa nani (Unganisha) Tunapenda kujibamba Juzi kwa klabu, tuliwasha zaidi (Kupindukia) Hatukukata tamaa Watu watakuja wewe! (Watakuja wewe) Nyimbo tutaimba wewe! (Tutaimnba wewe) Watu watacheza wewe! (Watacheza wewe) Viuno vitasonga wewe! (Vitasonga we) Eee ladadiii aaa Paarrararra rarra Jasho linatoka Wagoyo mana thum Tunapenda nyimbo Jasho linatoka Shemeji ondoka, usiachwe nyuma (Tumeanza) Milango itafungwa Marashi muxuka, wametoka kwa wingi (Wamedunga) Hawatakata tamaa Luku zimepigwa wewe! (Zimepigwa wewe) Nachali wamedunga wewe! (Wamedunga wewe) Warembo wako wengi wewe! (Wako wengi wewe) Marashi inanukia wewe! (Inanukia we) Eee ladadiii aaa Paarrararra rarra
6.
Tumetoka duniani Tumebebwa na wageni Kuwaona hatujawahi Inafanana na gari Naliona jua Hapana tambua Tunaogopa ju tumetekwa nyara Tunaogopa ju tumetekwa nyara Ne wanindeotanda, otanda Ne wanindeotanda Jogi negikwelowa Jogi negikwelowa Onge gimawadatimo (Watimo) Onge gimawadatimo (Watimo) Jogi ginigibunde Jogi ginigibunde Tunapaa angani Naona nyota na mwezi Tuko katika sayari Tumeshikwa na wageni Naliona jua Hapana tambua Tunaogopa ju tumetekwa nyara Tunaogopa ju tumetekwa nyara Ne wanindeotanda, otanda Ne wanindeotanda Jogi negikwelowa Jogi negikwelowa Onge gimawadatimo (Watimo) Onge gimawadatimo (Watimo) Jogi ginigibunde Jogi ginigibunde Intergalactical, extraterrestrial, beings in space, we're super international Twisted disarray, wild amusement, embrace the dissonance, cats on cruises Tuko katika sayari (Aaah) Tumeshikwa na wageni (Aaah) Naona nyota na mwezi (Aaah) Tunapaa angani (Aaah) Ne wanindeotanda (Otanda) Ne wanindeotanda (Otanda otanda) Jogi negikwelowa (Negi kwelo wa) Jogi negikwelowa (Kwelo wa kwelo wa) Onge gimawadatimo (Watimo) Onge gimawadatimo (Watimo) Jogi ginigibunde (Jogi ginigibunde) Jogi ginigibunde
7.
Ago 03:41
Jamani misimu yamepita Kweli, si tunazeeka Mambo yabadilika Tunaweza sameheana bila kukosa Kupoteza mtu huwa jambo la kushtua Kupoteza mtu huwa jambo la kushangaza Hutarajii kamwe Wakati mwingine lazima ujifanye Ili moyo uwe sawa, ju siku zinapita Sometime ago Sometime ago Sometime ago Sometime ago Siku zinapita misimu nayo yabadilika Watoto wana kuwa wengine nao wanazeeka Siku zinapita misimu nayo yabadilika Watoto wana kuwa wengine nao wanazeeka Ninakumbuka ulivyocheka Na ninakumbuka ulivyozungumza Ingawa sisi si maadui, urafiki wetu Uliisha kitambo Na hakuna ajuaye hili jambo Sometime ago Sometime ago Sometime ago Sometime ago Siku zinapita misimu nayo yabadilika Watoto wana kuwa wengine nao wanazeeka Siku zinapita misimu nayo yabadilika Watoto wana kuwa wengine nao wanazeeka Siku zinapita misimu nayo yabadilika Watoto wana kuwa wengine nao wanazeeka Siku zinapita misimu nayo yabadilika Watoto wana kuwa wengine nao wanazeeka
8.
Kendo 03:30
Mmmm yeee, ooo yeeeee Wachana na mimi, aweyi kendo Wachana na mimi, aweyi kendo Mimi ndege napaa ninapaa so far, nipachike juu ya mawingu Nikitembea juu, ninaona binadamu wakichill na wakizubaa tu Safari zangu zambali zimenifunza eti mi, niwe na utu Lakini wengi hawafurahii urembo wangu wanataka kunigonga na mti Pause Saa saa saa saasa Okabodog abodog abodoooog Okabodog abodog abodoooog Paa paa paa paapa Okabodog abodog abodoooog Okabodog abodog abodoooog Saa zingine mimi hushangaa sana na nyinyi mtembeao Mnachafua mazingira, mnachafua pia maji hamjui jinsi ya kuishi Wanyama nao, wanakufa wengine mnaua kwa kweli mnasumbua Ndio maana mimi nikipaa kule juu siwezi hata kurudi Pause Saa saa saa saasa Okabodog abodog abodoooog Okabodog abodog abodoooog Paa paa paa paapa Okabodog abodog abodoooog Okabodog abodog abodoooog Wachana na mimi aweyi kendo Wachana na mimi aweyi kendo Wachana na mimi aweyi kendo Wachana na mimi aweyi kendo
9.
Sulu 03:57
Kila ng'ato gi mare suluuuu Kila ng'ato gi mare suluuuu Sulu suluu, sulu suluu sulu sulu Kila ng'ato gi mare suluu sulu sulu Kila ng'ato gi mare sulu Asebedo nyakachieng' (Gi nai nai) Asewuotho, gi jo mang'eny (Gi nai nai) Asepenjora-ni ang'o matimore ka (Gi nai nai) Sote tunatafuta hatimaye (Mm hakuna ajuaye) Hakuna ajuaye hatimaye (Atakaye tafsiri) Sote tunatafuta hatimaye (Hei kila mtu na lake ) Hakuna ajuaye hatimaye (Ngoja tu ) Sulu suluu, sulu suluu sulu sulu Kila ng'ato gi mare suluu sulu sulu Kila ng'ato gi mare suluu Asewuotho uuu (Gi nai nai) Yawa an asewuotho (Gi nai nai) Asepenjora ni ang'o matimore ka? (Gi nai nai) Sote tunatafuta hatimaye (Hakuna hakuna ajuaye) Hakuna ajuaye hatimaye (Tafsiri) Sote tunatafuta hatimaye (Kila mtu na lake) Hakuna ajuaye hatimaye (Ngoja tu) Sulu suluu, sulu suluu Hakuna ajuaye suluu sulu sulu Hakuna ajuaye suluu sulu Tunajaribu tukisonga mbele Tunajikaza tukisonga mbele Tunajaribu tukisonga mbele Tunajikaza tukisonga mbele Tunajaribu tukisonga mbele Tunajikaza tukisonga mbele Tunajaribu tukisonga mbele Tunajikaza (Jaribu tukisonga) Sulu suluu, sulu suluu sulu sulu Kila ng'ato gi mare suluu sulu sulu Kila ng'ato gi mare suluu
10.
Almira 03:27
Baridi, mikono, watu wanatembea Barabara, taa, taa zinawaka Usiku polisi, ninawasikia watu Baridi kidogo, me ninaogopa Nimefungwa na pingu,leo kweli ni siku Ningelipa hizo pesa, singekuwa hapa Hawa watu jameni, ni kina nani Wananishtua kwa kweli, wananiogofya He I've been captured, I cannot breathe Eyes are burning, I cannot see Fingers sweating, I'm feeling weak Cold and hungry, who will save me I've been captured, I cannot breathe Eyes are burning, I cannot see Fingers sweating, I'm feeling weak Mikono yangu inatetemeka Na me siwezi hata kujieleza Mikono yangu inatetemeka Na me siwezi hata kujieleza Walikuwa tao, wakaenda kariobangi Walikula chipo, wakamwacha ndani ya gari Kayole, Umo, South C, South B, Eastlands, Westlands, hawa ni watu gani Walitumia mpesa ya Shiro, wakaenda kwa Caro Walishindwa kuwithdraw ju ID ilikuwa ngori Safcom wamepiga, wamedanganya jina Boss hajatuma pesa so hawaezi hepa Huyu fala hanyamazi, mwambie nitampiga Kwa nini hashiki simu, mwambie tutampata Tutatoa pesa wapi, itabidi ametoa Hao polisi njiani, hatulali ndani he! I've been captured, I cannot breathe Eyes are burning, I cannot see Fingers sweating, I'm feeling weak Cold and hungry, who will save me I've been captured, I cannot breathe Eyes are burning, I cannot see Fingers sweating, I'm feeling weak Mikono yangu inatetemeka Na me siwezi hata kujieleza Mikono yangu inatetemeka Na me siwezi hata kujieleza Mikono yangu inatetemeka Na me siwezi hata kujieleza Mikono yangu inatetemeka Na me siwezi hata kujieleza Mikono yangu Mikono yangu Mikono yangu Mikono yangu
11.
Liar liar! Muongo we! Uvungu, uvungu nueka Liar Liar! Muongo we! Utateseka, mwisho utahepwa! Liar liar! Muongo we! Uvungu, uvungu nueka Liar Liar! Muongo we! Utateseka, mwisho utahepwa! Kidogo my mapato, kidogo my mapato (Unaniramba) Kidogo my salo, kidogo my salo (Unaniscam, ah!) Kidogo my mapato, kidogo my mapato (Unaniramba) Kidogo my salo, kidogo my salo (Unaniscam, ah!) Ng'ani wuondoga (Kitu kidogo) Ng'ani wuondoga (Kitu kidogo) Ng'ani wuondoga (Kitu kidogo) Ng'ani wuondoga Sema ukweli (Owkuodo wiwa) Sema ukweli (Owkuodo wiwa) Jaribu (Okuodo wiwa) Jaribu (Okuodo wiwa) Ng'ano kwodo wiwa yaye, ng'ano kwodo wiwa, ng'ano wuondo wa! Ng'ano kwodo wiwa yaye, ng'ano kwodo wiwa, ng'ano wuondo wa! Ng'ano kwodo wiwa yaye, ng'ano kwodo wiwa, ng'ano wuondo wa! Ng'ano kwodo wiwa yaye, ng'ano kwodo wiwa, ng'ano wuondo wa! Jamriambo koth koro biro (Kokolakailalalamaaa) Jamriambo koth koro biro (Kokolakailalalamaaa) See now koth koro chwe (Achi achi) See now koth koro chwe (Aaaa achi chi cha) Jamriambo koth koro biro (Kokolakailalalamaaa) Jamriambo koth koro biro (Kokolakailalalamaaa) See now koth koro chwe Ochwe, ochwe, ochwe, ochwe Ochwe, ochwe, ochwe Koro yamo kudho, okudho, koro yamo kudho e Ochwe, ochwe, ochwe, ochwe, ochwe Obiro, muya koro biro, obiro Ndesna buoyo, ndesna buoyo An nyako mahero wer, aye, ayeiyee Ndesna buoyo, ndesna buoyo, ndesna buoyo koth ochwe, ochwe, koth ochwe Jamriambo koth koro biro (Kokolakailalalamaaa) Jamriambo koth koro biro (Kokolakailalalamaaa) See now koth koro chwe (Achi achi) See now koth koro chwe (Aaaa achi chi cha) Jamriambo koth koro biro (Kokolakailalalamaaa) Jamriambo koth koro biro (Kokolakailalalamaaa) See now koth koro chwe Ochwe, ochwe, ochwe Ochwe, ochwe, ochwe Ochwe, ochwe, ochwe Nitie ng'ama, kadho e yo Nitie ng'ama kadho eyo, ochwe, ochwe, ochwe Ndesna buoyo, ndesna buoyo, ndesna, ndesna, ndesna buoyo Ochwe, ochwe, ochwe, ochwe Ochwe, ochwe, ochwe Obiro, koth koro biro Obiro, koth koro biro Obiro, koth koro biro Obiro, koth koro biro Ochwe Aaaa achi chi cha

about

Our debut album, "Mbili Mbili," is an exhilarating cross-cultural journey, exploring serious themes while delivering danceable rhythms. The album reflects our ethos of playful exploration and collaboration and have deepened our creative connection. The fusion of cultures and sounds expands beyond the core duo of Labdi and Bernt on this album. We have been joined by a series of amazing guest artists enriching our sonic palette even further. "Mbili Mbili" is a significant milestone in our musical journey and will be a captivating listening experience with a bold fusion of culture and rhythm.

credits

released November 3, 2023

All songs written and produced by Unganisha - "Ochwe" was made in collaboration with Kasiva Mutua

Mixed by Bernt Isak Wærstad
Mastered by Christian Obermayer

Cover art by Labdi Ommes
Cover design by Bernt Isak Wærstad

Released by Anything Goes

license

all rights reserved

tags

about

Unganisha Nairobi City, Kenya

Unganisha is a musical collaboration between a traditional musician from Kenya - Labdi Ommes - and an experimental electronic artist from Norway - Bernt Isak Wærstad. They’re in constant pursuit of briding east-african traditional music, western experimental art music and electronic club music. Bits and pieces from two cultures are used as building blocks to create a unique style of music! ... more

contact / help

Contact Unganisha

Streaming and
Download help

Report this album or account